@RadioCitizenFM@MelodySinzore1#Rusharoho, nakupata nikiwa Mukuru Embakasi,huku Mimi ndiye Balozi.Naomba unichezee Moja cha wana Dolphins.nawasalimia wazazi wangu wakiwa Changara Teso North ,Baba Kaguru William ,Mamangu Rebecca situma ,Joan Nabengele ,Stella Namsonge na Carol .
@RadioCitizenFM@JaredNyambega@KamauMunywa , Nawapata vyema nikiwa Mukuru Embakasi , nauliza Mheshimiwa Savula ,ametaja , karibu kila sehemu ya nchi iko na uwakilishi ndani ya" OKA" , Je Nyanza Nani ndiye mwakilishi? I don't see "OKA" going anywhere! Mimi niko ndani ya ODM! Mukuru iko tuned!