Siku ambayo nazaliwa mama akiwa na uchungu mwingi sana wakielekea hospital na mzee, kulikuwa na shida ya usafiri kipindi hicho. Ilipita gari ndogo akasimama jamaa hawamfahamu ndio aliwapeleka hospital. Mzee alimuuliza anaitwa nani, akajibu "John" ndo likawa jina langu.
R.I.P John