Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
TUNAENDELEA BILA KIKOMOO 👋
Sofa set 2:2:1 utapata kwa 900,000
Free delivery wa mkoani tunakuchangia 80,000 kwenye usafiri ili ikufikie kwa urahisi huko mkoani
Hakikisha hukosi ofa hii kwa vyovyote
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe
Na hii kabati ya milango minne utaipata kwa 550,000
Ikiwa na free delivery ukiwa mkoani tunakuchangia 50,000 ili ikufikie
Nyieè mtapata wapii ofaa kama hii
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe
Mnajua kuna wakati natakaga kulia nikianza kuongea mniungishe jamanii
Kama hamskiii hilo tangazo
Nipigieni 0710 398 946
Nitawasikiliza
Fr 2 bado watu 5 tuanzee karibuni sana