Ama kweli kila muda una wakati wake, na niliyo yapitia nimengi kuliko hapa nilipo na najua kua ninapo endo ndo balaa lilioje wacha soon niwaletee #Nitazoea official video yajayo tumuachie #MUNGU
Leo ifikapo SAA 1usiku mpaka SAA 3 usiku nitakuwa #live ndani ya #InstaLive ya #wasafi.com so usipitwe na mimi leo mwenye maoni,maswali ruksa kunambia chochote