Hatua zako za mafanikio ni KENGELE yenye kelele nyingi, inayomkumbusha adui yako udumavu wake wa mafanikio. Kengele iendelee kugongwa hiyo, MTESI aendelee KUDUMAA huyo π«΅π«΅.
Evening reminder β°,
Adui zako hawajaumbiwa uwezo wa kukabiliana na kile MWENYEZI MUNGU amekutunuku. Mafanikio yako ni kioo cha adui zako kujitathmini jinsi gani walivyo na uwezo FINYU wa kukabiliana na mawimbi yako . IN SILENCE, KEEP MOVING, KEEEP THAT SPIRIT UP ππ.
Gentle reminder β°.
2026, you cannot be the best VERSION of yourself for OTHERS. You cannot keep pouring for others while your cup is EMPTY. Wake up and start prioritizing yourself. --- Steve Harvey.
Gentle reminder β°.
2026, anza kujipa kipaombele kwenye kila jambo na watakaoanza kukasirika kwa wewe kufanya hivyo ni wale ambao walikuwa wanufaika wa wewe kuwapa wao kipaombele kuliko wewe mwenyewe. -- Harvey, S.
Gentle reminder β°.
2026, punguza kutafuta kukubalika kutoka kwenye maeneo na watu ambao si sahihi. Watakufanya ujitilie shaka na uhoji zaidi kuhusu thamani yako.
Tick β the condition you are currently experiencing.
Depression
Post-Traumatic Stress Sisorder (PTSD)
Grief and Survivor's Guilt
Stress
Mood disorders
Anxiety disorders
Phobias, and
Substance use disorders.
Eating disorders
Please seek professional help.
Usitamani maisha ya mtu fulani kwasababu ya aina yeyote ile... Hata yaye ana chumba cha tabu, majuto, mateso na simanzi ambacho wewe ukiingia huwezi toka salama. Ishi na uikubali hatma (Destiny) yako.
Ilipofika muda watu waliambiwa waanze kutoa heshima zao za mwisho. Mstari mkubwa ukaanza lakini kila aliyechungulia ndani ya jeneza aliondoka kwa fedheha kubwa, kwani ndani ya jeneza kulikuwa na kioo kikubwa na kila aliyechungulia alijiona mwenyewe - The Late Edward Lowassa.