Yo
kuna sisi tumekulia familia ambazo hazina hata member mmoja ni mfanya biashara mkubwa au labda ni mwanasiasa lakini wazazi au ndugu wanapambana tusome ivo ivo kibishi
hapa huwa tegemeo ni moja tu kqamba tuajiriwe ndo first priority...
@NytoP2PMwangi pale milenial a meet Gen z
mkeo yupo tiktok anatafuta best soaps za kufulia
detergents nzuri za kuoshea toilets
yupo kwa account ya wachina anaangalia jinsi ya kukunja nguoo
be patient atarudii akiwa mnomaaa sanaaa apooo..ππ
@francismtey hili tukio limetrend sanaa ila ni la muda mrefu toka 2013 hiyo ni testing ya parachutes
sema sisi tuko nyuma sana ya muda ndo mana mambo kama haya yanatupita
I think we are better than haya mambo yanayoendelea