Nyota wa Yanga SC, Joseph Guede ambaye alisajiliwa katika dirisha dogo ameitumikia timu hiyo kwa dakika 743, kwenye NBC Premier League na kucheka na nyavu mara nne.
Mbali na kwenye #NBCPL, mchezaji huyo raia wa Ivory Coast pia ameshacheka na nyavu mara tatu kwenye michuano ya CRDB Bank Federation Cup ukiwemo mchezo wa jana war obo fainali dhidi ya Tabora United.
Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Guede pia ameacha alama kwa kufunga goli moja kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad uliopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.
Kwa mwenendo wa mchezaji huyu tangu ametua, ameanza kukonga nyoyo za wapenda soka
#Guede #YangaSC
#AFCON2023: Pichani ni Mchezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mohamed Hussein 'Tshabalala' akimkabidhi jezi yenye jina lake Mchezaji wa Zamani ya Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Siphiwe Tshablala.
Hebu sema jambo kwa Tshabalala hawa?
Kumbuka mechi zote 52 za AFCON zinaendelea kuruka Live na kwa ung'avu wa HD kupitia #AzamTV na #AzamTVMaxApp.
Lipia mapema kifurushi chako cha shilingi 25,000 ili usipitwe na fainali hizi.
✍️ Anoth Paul
#AFCON2023 #FainaliZaAFCON2023 #MichuanoYaAFCON #MaskaniyaAFCON2023 #AzamTV #AFCON
#JasusiBriefing: wakati hali ya usalama ikizidi kuzorota huko Sudan, kumezuka migogoro miwili ya kidiplomasia. Wa kwanza ni kati ya Sudan na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambapo serikali ya Jenerali al-Burhani inaituhumu UAE kuwa inawapatia silaha waasi wa RSF wanaoongozwa na Jenerali Hemedti.
Sudan imewatimua maafisa ubalozi wa UAE, na UAE imelipa kisasi kwa kuwatimua maafisa ubalozi wa Sudan.
Katika mgogoro mwingine, Chad ambayo inahifadhi maelfu kwa maelfu ya wakimbizi kutoka Sudan nayo imewatimua maafisa ubalozi wa Sudan, ambayo inaituhumu Chad kwamba imekuwa kituo cha UAE kuwafikishia silaha RSF.
Kuharibika kwa uhusiano kati ya Chad na Sudan kunaweka mashakani usalama wa wakimbizi wa Sudan nchini Chad.
https://t.co/OQhE3RTW8h
FIFA President Gianni Infantino was in attendance for the first-ever African Football League game in Tanzania 🇹🇿⚽️
60,000 fans turned up for the opening ceremony and watched a 2-2 draw between Simba and Al Ahly… an incredible start to a historic journey 🙌🌍