@SuluhuSamia Hongera Mh Raisi @SuluhuSamia Kwa uwekezaji huu lakini natamani maonesho haya yafanyike Kwa mzunguko kwenye Kanda zilizopo ndani ya nchi yetu. Natambua kuwa ni gharama maana itahitaji uwekezaji ktk Kanda hizo ila penye nia pana njia. Hongera
@AnnaTibaijuka Hongera Sana Prof Kwa kuamua kurithisha elimu Kwa vizazi vijavyo Kwa njia ya kutoa ufadhili, hongera Kwa huduma ya Babro education. Hii ndio njia sahihi ya kuhakikisha wenye njaa ya elimu wanapata fursa.
@SokoineU Badilisheni baadhi ya course content ili ziendane na mahitaji ya Dunia ya leo, i.e Rural Development huyo mtu anakwenda kufanya kazi idara gani, ( mipango,maendeleo ya jamii,) just naomba sana
@fbuyobe Watu wanakupenda mnooo si Kwa sababu unajua Sana code la hasha Kwa kuwa upendo hutoa upendo. Unachoona unastahili kukipata toka kwao. Upendo Kwa upendo.... Endelea kukaa upande wa wananchi..
@Barga1n@nyuki_malkia Ongeza hapo mhikili mmoja umekaa juu ya mhikili mwingine hivyo itaathiri mamlaka na hadhi ya mhikili lengwa. Hilo sufuria linakaribia kuanguka ni nchi ambayo haina mihimili iliyo sawa ktk utendaji hivyo itasababisha maafa
@ayubu_madenge Wanaokuzunguka watakudanganya na kukupamba Kwa maneno matamu na kukungonga wakiwa peke Yao. Omba Sana hekima na akuondolee kiburi na kujiinua..
@ayubu_madenge Maandiko matakatifu yote toka Mwanzo mpaka Ufunuo yanajikita katika kuutunza uhai na kuwapatia haki Wana wa Mungu. Sisi tunawajibu wa kutunza na kuenzi uhai.