@swahilitimes Anataka kuzima Mic mapema asubiri subiri kidogo atupe ya Makonda na Rc na yeye ajibu tuhumaa. Sema kiukweli Mikono iliyomwaga Damu itakutesa sana.
@Nnauye_Nape Kweli kila usaliti una maana.Kama wewe ulivyo wasaliti wananchi wa Mtama unarudi kipndi cha uchaguzi kukaribia na porojo baada ya miaka mitano https://t.co/cBSFmWww2p done = 0.
@Labella_Mafia95 Iyo ni opening rates si actual rates zilizopo now and the thing ni kwamb kuna season so usitegeme kuwa the same price.kuna STO rates na Rack Rates zinatofautian oviously kama kuna punguzoo uwezi lipata kiraisi mpaka conrtract angalia rates za room ambazo ni bei rahis kuliko zote.
@EsmarionEsmari@Labella_Mafia95 Izo zilikuwa Ni opening rates mkuu ingia ground ndio utajua bei kamili alafu apo ni porin hakuna uba wala bold no boda kwaiyo mambo ni sytematic kwamba either uende kwa ndege au 4x4 land cruser.Any way place is so amaizing kwkaweli
@Labella_Mafia95 Kwa ushauri Jipange kwenda nigharama kweli kulinganisha na GDP yetu .Kwa mafano Resident rates apo sio chini ya 1500$ per nigh per room on FB for non Residen ni almost 2000$ per night per room on FB so ukiangali kwa usawa wa uchumi wetu tutaweza kumudu.+ park fees an rent a car.
@MwijakuBurton Sasa wew una fanya kazi gan Uchawa.Mwanaume mzima ume ota nywele kona zote za mwili unakazi ya kusifia watu ili ulee ..watu wana chukuliwa wana uwawa na aawajulikani wengine walipo wewe unasifia sifi vitu amabyo ni wajibu wa mamlaka kufanya. #mwijakukichwapanzi
@Labella_Mafia95 Breez akushuka kwa sababu tuu Alimpiga Riri. Kilicho mshusha ni new world oder ya kumlinda mwanamke So Chanzo ni ugomvi yes but kilicho simama ni Agenda maalumu ya kulinda mwanamke kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza.
@Jambotv_@Nnauye_Nape Walio kuwa wana muita uyu mueshimiwa majina kama Bumunda na mengineyo hawakukosea walion mbali. Any way msururu wa kodi kwenye kilimo kuanzia shambani mapak kwa mlaji izo kodi ni za kaz gani au hii nchi tuna tegemea CCM kutupa hisani.Wananchi unao waongoza wana kazi kweli kweli.
@eastafricatv Nilicho kiona ACT wazalendo ni Accademy ya CCM kuzalisha wakuu wa mikoa na wilaya kupitia presidential contest.
Ahsante mama mkoa gan tutegemee.
@Eric__Bernard@rollymsouth Tuna kazi kubwa kama taifa na vijana wa Tz ..kama akili ndio hizi za @Eric__Bernard . (Jifunze kijipamabambanua . na weka muktadha wenye tija kuwa na mrengo fulani wa cham sio mbaya shidah ni uchawa)Izi sio akili ni tope la undongo mfinyanzi. No election No reform. fullstop.