A friend of mine has just called me in the morning while he is still in bed......At the background Ive just heard a familiar female luo voice telling him ""Babe leumeniserve justice vizuri,haki nkikuwa kutu, unajua kuzungusha Wacha nikuchemshie chakula""...
Asihh ,this world,luos will not make it to heaven . Hata Bibi wa mtu mwenye bwanake anafanya Welding Qatar mnapita nayo...hamna huruma Kabisaa
Kuna Uncle wetu tuliishi pamoja hapo Pipeline,he was a good cook shida alikuwa dramatic,Kuna siku alijifungia kwa Bedsitter akasema anameza Rat and Rat mimi na Cuzo tulimwaga machozi hapo kwa mlango begging…“Jomba ukijimaliza unajua vizuri hatuna pesa ya kupeleka mwili nyumbani”
Hakuna mtu huongelea,but married men wameoa Marakwet women especially from Marakwet East huwa na special curfew, na ni mapema kuliko ya most married men in other parts za Kenya. Originally ilikuwa 8 pm but after challenges ya Covid,tulisongeshewa hadi 9pm. So ukiona ndume kwa…
The Year is 2008, Event inaitwa GPange, Venue ni Uhuru Gardens. On that actual day nilikua na corporate gig ingine hapo Carnivore Simba Salon. So the plan was nimalize hii gig halafu ni rush hivyo Uhuru gardens the good thing ilikua tu hapo. Program ilikua inasema na perform just before Mr Vegas since yeye ndio the international act. I finished the corporate gig and called Clemo coz yeye alikua already Uhuru gardens nikamuuliza ‘niaje nikuje hivyo?’ akaniambia ‘hold kiasi’ after like 10mins KJ of Redykyullas fame called me akaniambia ‘buda niaje hold tu kiasi place uko, ukikuja hivi hawa jamaa watataka upande stage na sisi hapa tunataka uperform after Mr Vegas wewe ndio kusema sisi hatutambui Mr Vegas!!! I was like ‘what!! mnataka nifunge?’
Remember that time NgeliYaGenge ndio ilikua imelipuka!!! so nikahold kiasi the good thing show yenyewe ilikua live NTV so tulikua tunafollow tu everything kwa teli, as we were watching true to KJs word Mr Vegas akaintroduciwa hapo ndio nikajua damn KJ alikua serious, so Mr Vegas akiperform KJ akanicall akaniambia ‘kuja hivi sasa’.
It was around 5 jioni so on my way nikaskia watu wa NTV walikua wanataka kucut off transmission coz of time so Clemo alikua anajuana na producer mmoja hapo akamwambia ‘fanya juu chini Live yenyu ikatike after JuaCali ameperform’ So nikafika venue manze Uhuru Gardens ilikua imejaa me sijawai ona watu wengi hivyo pamoja ever in my life 60000 strong!!! nikaintroduciwa nikapewa mic kama kawaida nikaanza na WATUUUU!!! MNAJUA NIAJE!!! Uhuru Gardens yote ilienda crazy!!! After a few songs nikapiga acapella ya NgeliYaGenge wasee walikua wana sing along to every word, niki perform I was like hii ni dream ama?
GPange iko kwa my top 10 list ya one of my best shows nishawai perform halafu remember MR Vegas curtain raised for me!!!! What!!! What!!! What!!!
Anything is possible if you put your mind to it au sio? #GengetotheWorld #genge #grammys #Gpange
I find that most guys who have lived abroad for sometime have no problem cooking or doing household chores when they return & even get married, because these are essential survival skills .