@nikkwapili Kama hapo naona imetumika 22.5bn na kwenye magari annually inatumika 558bn,so issue sio pesa kwa serikali issue ni Priorities, priority ya kwanza ni viongozi kuishi vizuri ndo maana inawekezwa pesa nyingi kwenye magari,kama wanapewa ?magari kwa nn wasijitafutie mahitaji ya magari
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa iliyoadhimishwa Jumatatu Novemba 10,2025 katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
@SkySportsPL We'll have to play with a back 3 of Saliba, Gabriel and Calafiori, Timber and Lewis- Skelly as the WBs, midfield 3 of Partey, Rice and Odegaard and front 2 of Trossard and Nwaneri