Eneo hili ndipo Kaisari Nero alimpo mtundika Petro aliyekuwa mfuasi wa Yesu kichwa chini miguu juu kisha akamuua. Kaburi la Petro lipo ndani ya Kanisa lililopo eneo hili na Petro ndiye Papa wa Kwanza wa Kanisa Katoliki. Leo watu wamekusanyika eneo hili kumuaga Papa wa 266.
Hakuna kabila linaitwa Watutsi wala Wahutu. Kabila lazima liwe na lugha yake. Hakuna lugha ya watusi. Watusi na Wahutu ni madaraja ya kijamii ( social classes). Madaraja haya utayakuta eneo lote la interlacustrine - Banyarwanda, Barundi, Baha, Banyankole, Bamushi, Basubi, Banyambo nk.
Je Jamii hizi zipo katika eneo linaloitwa sasa Kongo? Ndio. Himaya za Kirundi na Kinyarwanda zimekuwa Kongo miaka 500 kabla ya King Leopold kutwaa kilichokuja itwa Congo Free State na kabla ya mipaka ya Wakoloni ya mwaka 1884/1885.
Kabla ya Wakoloni kuja huku kwetu Himaya zetu zilikuwa zinavuka mipaka ya sasa. Ikiwemo Himaya ya Rwanda ( Rwanda Kingdom chini ya Mwami Rwabugiri ) ambayo ilikuwa maeneo yote ya Kivu ya Kaskazini na sehemu ya Kivu ya Kusini.
Sultan wa Zanzibar kwa mfano alikuwa anatawala Mashariki ya Kongo kupitia bwana Tipu Tippu makao makuu yake yakiwa Kindu Jimbo la Manyema. Ndio maana eneo kubwa la mashariki ya kongo wanaongea Kiswahili, swahiliphone, kwa sababu lilitawaliwa na Maliwali waswahili.
Ulichoandika hapa ni kitu kinaitwa conspiracies na sio historical facts. Kwa maandiko yako utakuja kusema watu wa Katanga, Kalemie, Moba, Manono, Kindu, Bukavu, Uvira, Baraka nk sio wakongo kwa sababu ni Swahiliphones. Kama unawatambua swahiliphones kama wakongo, vile vile rwandophones ni wakongo pia.
Mzizi wa fitna ni raia wote kupata haki zao sawa na majirani waache kuleta mizozo Kongo.
Kwa hiyo ondoa neno ukweli mchungu na weka neno nadharia za kikonsipirasi!
Samia akuelewa kwa nini Magufuli alizima mikutano ya vyama vya siasa, sababu ni hizi
-- CCM imeoza haiwezi jikinga na makombora
-- CCM ni chafu kuliko jalala
-- CCM hakuna watu wenye weledi kumudu kizazi cha sasa na siasa za sasa
-- CCM ni nzito, ni kama lori halina grisi kwenye vyuma vyote kinapiga kelele na kukongoroka
-- CCM imepoteza mvuto vibaya sana
-- Wananchi wameshituka namna siasa inaathiri maisha yao, wamegundua shida ni mfumo (katiba) na CCM
-- CCM ina mabwanyenye yanataka kula tu, hakuna juhudi wala akili yanatumia ila yamekaa kwenye foleni midomo wazi kila moja linalia njaa likisubiria kula, wananchi wanajua ili suala
-- Viongozi wa CCM wamechukua mfumo wa maisha wa Celebrities, lakini wao wanataka kutafuna nchi bila kubana mkanda inapobidi wala kusimamia haki kwenye maeneo wanayopewa nafasi ya uongozi, makokeo yake moto unakwenda kwa wananchi
-- CCM ni waongo ila uongo wao umeshashitukiwa na wananchi
-- Nchi kiuchumi imekwama kabisa, masuala kama ajira na ubunifu wa shughuli mpya za kichumi tumekwama, tumeshindwa kutumia raslimali kuendesha nchi
-- Ufisadi na wizi umeshaumiza heshima ya ccm ni kundi la wezi na wavumilia wezi
-- Uongozi na ushawishi kwa wananchi hakuna vilishapotea kuna gap kati ya watawala na wananchi
-- Sheria za sera za nchi zimepeleka machungu kwa wananchi, hakuna tena uhuru wa kiuchumi, watu hawana haki ya kumiliki uchumi na kuendesha shughuli za kiuchumi bila kusumbuliwa na serikali au kuborwa mali
Haya ndio yalimfanya magufuli akajua hakuna siasa ataweza fanya akaamua kuwa dikteta sababu alijua mvuto wa chama chake umeisha
Samia atarudi tu kwenye njia za Magufuli ndio maana ameacha sheria zote alizotunga Magufuli, hana uwezo wowote kushinda uchaguzi wala chama chake namna pekee ni kutegemea mfumo kufanya uhuni na ndio maana sasa hataki kura ziibiwe na Polisi sababu hawana akili anataka kuiba kura na kuchezea uchaguzi kwa kutumia baadhi ya wasomi ndani ya usalama wataifa ndio maana sheria ya uchaguzi inataka maafisa waandamizi wa serikali kuwa wasimamizi wa uchaguzi na TISS kuhusiwa kuingia kwenye vituo vya kura na pia wao ndio wawe walinzi wa wagombea urais ili kufanyike close monitoring ya kila mgombea, anaongea na nini? anakwenda wapi , kila kitu ina maana kuziba kabisa fursa ya wagombea wengine kufanya mikakati ya amani kushinda uchaguzi, na pia kuwapoteza wadau wa demokrasia wasiotaka kuwa kwenye active politics waogope kabisa kusogelea wagombea wa upinzani
I have compiled a list of African clubs that are banned from registering new players by FIFA. 🌍⤵️
OM 🇩🇿
Clube de Agosto 🇦🇴
Academie Sportive Ayema 🇧🇯
Eding Sport de La Lekie 🇨🇲
DC Motema Pembe 🇨🇩
Saint Lupopo 🇨🇩
TP Mazembe 🇨🇩
Eastern Company SC 🇪🇬
Haras El Hodod 🇪🇬
Misr Makassa 🇪🇬
Zamalek SC 🇪🇬
Malabo Kings 🇬🇶
Adama City 🇪🇹
JCFC 🇪🇹
Pacific Heroes 🇬🇭
Horoya AC 🇬🇳
Sofapaka FC 🇰🇪
Ahly Tripoli 🇱🇾
IR Tanger 🇲🇦
Maghreb de Fès 🇲🇦
MC Oujda 🇲🇦
Raja Club Athletic 🇲🇦
Wydad AC 🇲🇦
Club AS 🇳🇪
Plateau United 🇳🇬
Kiyovu Sports Association 🇷🇼
Richards Bay 🇿🇦
Royal AM 🇿🇦
Biashara United 🇹🇿
Fountain Gate FC 🇹🇿
Singida Big Stars FC 🇹🇿
Tabora United 🇹🇿
Young Africans SC 🇹🇿
Club Africain 🇹🇳
Club Sportif Sfaxien 🇹🇳
Etoile du Sahel 🇹🇳
Olympique de Beja 🇹🇳
Ben Guerdane 🇹🇳
Buildcon 🇿🇲
Kitwe United 🇿🇲
Lusaka Dynamos 🇿🇲
ℹ️ I did selections based on the club’s popularity. 🚨
#AfricanFootball
Muelezeni Afande Muliro nipo tayari kwa lolote.
Nimepokea taarifa kutoka katika kikao cha kamanda wa kanda maaluma ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro alichofanya leo na waandishi wa habari, ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Nimesikitika sana kuona Kamanda Muliro badala ya kutuambia wakazi wa Dar es Salaam usalama wetu ukoje na kwanini matukio ya watu kukamatwa na watu wanaojitambulisha kuwa ni polisi wanakutwa katika vyumba vya kuhifadhia maiti badala ya kupelekwa mahabusu za polisi au mahakamani.
Badala yake Afande Jumanne Muliro anaacha Jukumu lake la msingi anaishia kututisha mimi Boniface Jacob na Godlisten Malisa kwamba tunazua taharuki na kwamba atatuchukulia hatua za kisheria.
Nataka nimuondoe wasiwasi katika hilo, muda wowote Jeshi la Polisi likinihitaji wala wasipoteze muda au mafuta ya serikali wanitaarifu tu kupitia namba hizi 0712239595
Jukumu langu na wito wangu ni kuhakikisha Dar es salaam panakuwa mahala salama kwa wakazi wake wote kuishi na kufanya shughuli zao za kila siku.
Sitoacha kupaza sauti na kulisema Jeshi la polisi pale inapobidi wanaokiuka sheria, wanapofanya uzembe au wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao.
Nina taarifa za familia nyingi kupoteza ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa wao katika mazingira tatanishi bila maelezo sahihi kutoka Jeshi la polisi au kupata maelezo ya upelelezi wao umefikia wapi.
Wakati Muliro anazungumzia taarifa yangu ya Jana kuhusu kupotea na hatimaye kupatikana mwili wa marehemu Robert Mlanga Mushi,
Ajue leo tena nimechapisha habari nyingine mpya ya kupotea kijana mwingine mkazi wa Kimara na mjasiliamali wa kariakoo Bw.Peter Antony Mwamlima (28) ambaye hajulikani alipo siku ya saba sasa.
Kama jeshi la polisi limejitokeza kuanza kutujibu haya kwetu ni mafanikio makubwa ya kumtoa nyoka pangoni. Lakini, tunataka majibu sahihi siyo vitisho.
Wasitarajie tutanyamaza au kuogopa kuendelea kuwapigia kelele mpaka hali ya usalama jijini Dar es salaam itakapo tengamaa na kurejea katika utulivu wake.
Badala hii ya sasa vijana wanatoka majumbani lakini hawana uhakika wa kurudi katika familia zao.
Nitoe wito kwa Wananchi nchi nzima na hususani wakazi wa Dar es Salaam wale wote waliopotelewa na ndugu,Jamaa na watoto wao kuendelea kunipa taarifa kwa njia zozote zikiwemo za mitandao ya kijamii au namba zangu za simu 0712239595.
Imetolewa na;
Boniface Jacob
Meya mstaafu, Kinondoni & Ubungo
0712239595
SEHEMU YA KWANZA
THE ORDER OF THE ILLUMINATI
Kwa mujibu wa Profesa wa masuala ya kihistoria katika chuo kikuu California, Davis…Bi. Kathryn Olmsted, Illuminati hawapo katika dunia ya sasa. Tafiti nyingi zinazofanywa juu ya kuutafuta ukweli kuhusiana na kama
SIMBA WANATAKIWA KUFANYA HAYA, ILI KUREJEA KWENYE USHINDANI WA UBORA
1. Badili viongozi- Wanaweza wakawa wamefanya mengi makubwa ila muda umefika wapishe sura mpya, zenye Maono mapya na vision mpya, kiongozi anayeleta mchezaji wa Timu nyingine kama maonesho ili kupooza mashabiki na kuamini kama kucreate whatsapp channel ni mafanikio kwa karne hii ni mambo ya aibu
2. Watu wakae kwenye positions based on their merits- Hakuna mambo ya kujuana au fulani katoka na timu mbali, na ndiomaana unaona kuna mashabiki wa Simba wanafanya kazi Yanga na wanafanya kwa ufasaha, so mtu bora apewe nafasi na afanye kazi
3. Vunja Kikosi- Hii Simba ya Sasa wachezaji wanaotakiwa kubaki na wanapaswa kua kwenye first eleven ya Simba hawafiki sita, kikosi kifumuliwe na waje wachezaji wa maana kama ambavyo hua tunaambiwa thamani ya kikosi Ila wachezaji masalu wote watolewe na tuwashukuru kwa utendaji wao wakati wakiwa Simba
4. Benchikha apewe Muda- sidhani kama panahitaji maelezo hapa, kocha ni bora na analijua soka la Africa, sasa chukueni report yake mpeni mahitaji yake achape kazi.
5. Simba inatakiwa kua moja, slogan yetu ni Nguvu moja ila Simba kila mtu anaimba wimbo wake, Simba hakuna kabisa unity na hii ni sababu ya uwepo wa watu wengi wenye ego na kutopenda sikiliza ushauri au kukosolewa, hii inafanya idara nyingi kuzorota na kutokua na ufanisi
Mwisho Tajiri Mo @moodewji Tunajua unaumia ila mashabiki wanaumia zaidi, tunaomba muwahurumie, uzuri kwenye moja ya interview zako ulisema Unawajua viongozi wanaoikwamisha Simba na ipo siku utawataja, sasa tunaomba usiwataje ila WATOKE ndani ya Simba. Ijengwe Simba mpya kuanzia kwenye uongozi mpaka kikosi.
Nawasilisha