Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano.
Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu.
BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki .
Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels.
1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar?
2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini.
Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu?
3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei?
4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu.
5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje?
Sisi tunasema:
1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini.
2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi.
3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini.
Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda..
Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Stop scrolling and say:
Subhanallah ×3
Alhamdulillah ×3
La ilaha illallah ×3
Allahu Akbar ×3
Astagfirullah ×3
Subhanallahi wa bihamdihi ×3
Subhanallahil 'azeem ×3
La hawla wala quwata illa billah×3
Astagfirullah wa atubu ilahi×3
Imagine your rewards from Allah when someone reads it because of you.
Wewe Msigwa unataka kucontrol CNN kama unavyocontrol leseni za online tv za Tanzania? Au unafikiri hilo ni gazeti unalotaka kufunga wakati wowote unaotaka?
Hao ulioenda kuhutubia hapo wamekuuliza mliua watu wangapi?
Je wamekuuliza kwanini hamjawapa Watanzania miili ya ndugu zao wakazike?
Wamekuuliza kwanini mlimpiga mama mia mzito risasi ya mgongoni?
Wamekuuliza kwanini majeruhi wamechukuliwa wakiwa wazima na kupelekwa Mortuary?
Unafikiri CNN, BBC, Al Jazeera wataachq kufanya kazi yao kwasababu wewe hupokei simu au haujibu msg?
Kwanini Leo haujawaalika CNN ili wapate nafasi ya kukuuliza maswali ujibu?
Wenye nia ovu ni nyie wauaji sio watu wanaoanika uovu wenu.
Ukatili wenu huu hamtaweza kufunika, kwa lolote.
Watanzania wa sasa sio wajinga.
Tunahitaji SAINI 20,000 kabla ya saa 6 usiku. Mpaka sasa tumepata 16,420. Naomba usaini na Share kwa wengine chap chap. Usilale kabla hujasaini hii ni Muhimu kwaajili ya ndugu zetu waliouliwa KIKATILI NA SAMIA.
REPOST 500
https://t.co/hMj55Mczjm
🚨 Liverpool fans let's celebrate that win by following each other!
Follow Me
Comment ❤️❤️❤️ paint everywhere red and follow everyone that likes it.. Ensure to follow back if you were followed!
Hawa ni WATANZANIA ambao Jeshi la polisi limeshirikiana na vikosi kutoka uganda kuwaua.
Hawa watu walikuwa wanaandamana kupinga UCHAGUZI, kupinga utekaji, kupinga Ufisadi unaoendelea nchini. Samia kaua watu wengi sana ili kututawala sisi.
Hatutakubali katawale Zanzibar kwenu sio TANGANYIKA. Kama utaweza kutumaliza wote milioni 60+ sawa. #SaveTanzania #MO29
Tunaenda kuionyesha DUNIA mauaji SAMIA aliyofanyia Watanzania ili awe RAISI.
Hii ndio sababu nchi ipo GIZANI mpaka muda huu hakuna Internet. Nenda instagram @/samia_muuaji .
Tag vyombo vya habari duniani na mashirika makubwa duniani waone unyama wa SAMIA kwa watanzania huku nchi ikiwa GIZANI. #SaveTanzania #MO29
———————-
We are going to show the WORLD the killings SAMIA carried out against Tanzanians just to become PRESIDENT.
This is why the country remains in DARKNESS to this moment — there is no Internet. Go to Instagram @/samia_muuaji.
Tag international media outlets and major global organizations so they can see SAMIA’s brutality against Tanzanians while the country is in DARKNESS #MO29 #SaveTanzania