βTena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja.β π€
@BarakaMaviatu Shererhe haikuwa kwa sababu mwana alifanya sahihi, bali kwa sababu βalikuwa amekufa, amekuwa hai tena; alikuwa amepotea, ameonekana.βLengo lilikuwa upatanisho, si kuthibitisha kwamba aliinjoi au la.
Pia kuna kanzu, pete,viatu alipewa it means hakuwa navyo Tena (symbolism π )
Burnout in law isn't from working hard. It's from working hard on things you never chose. Agency is the whole game. Build something you'd want to show up to.
@HKebeya Na hapa shida ni management. Daktari na mfamasia wanavimbiana.
Baadhi ya hospitali zime-implement digital systems ambazo hawa watu hawakutani.
Investment kubwa inawekwa kwenye systems.
Precisely, mtu wa kati ni ICT Manager. Hawa wakizingua tunaangalia digital records π
@1TraVeLA Upo sahihi. Vijana wengi wa dunia ya tatu, tangu wadogo, wamefundishwa kuogopa watu wenye pesa na elimu.
Kwa mwanamke akipata hivyo, halafu akaongeza na beauty na (exposure), inakuwa shida zaidi.
Madam Ritha aliwahi kusema kuwa hii ni moja ya changamoto kubwa za kumpata mtu. π