Wauzaji wa bidhaa origino kutoka Uingereza.
Tunatoa huduma ya Delivery bure kabisa.
Ukiagiza mzigo kwetu utafika ndani ya muda.
0677677677
0678678678
0674674674
WANTED TOLTILLA CHIPS: kama unataka kupooza njaa yako ukiwa kazini au sehemu yeyote ile nunuwa hii wanted tortilla ina ladha tamu pia inakupa lishe nzuri kabisa
NI BIDHAA BORA KUTOKA UINGEREZA
INAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
MIKOANI NA NJE YA TANZANIA BIDHAA TUNAKUTUMIA
J20 FRUIT JUICE; hizi ni juice bora kabisa zenye kukupa afya bora na kuujenga mwili wako ili uwe na nguvu zaidi
SASAZINAPATIKANA DUKANI KWETU ESSENTIALSTZ PEKEE
ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
BIDHAA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE PALE BUREE
CHEETOS PUFF SNACKS; are you at the office, school, hospital or any where and you are hungry you want to have something to eat, press your order with us we have all snacks
BIDHAA ZETU ZINAPATIKA KWA WINGI
ZINAPATIKA KWA BEI YA JUMLA
TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
WALKERS MAX PUNCH: je upo ofisini kwako au upo nyumbani kwako unataka kupooza njaa, njoo dukani kwetu au fanya manunuzi kupiti mitandao yetu ya kijamii
BIDHAA ZETU ZINATOKA UINGEREZA
ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
UNALETEWA POPOTE ULIPO HATA KAMA UPO UGANDA
WALKERS FRENCH FRIES BITES; kwa vitafunwa bora kabisa kwaajili ya kupooza njaa yako ukiwa ofisini au shuleni zinapatikana dukani kwetu.
BIDHAA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO
ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
NJOO POSTA MTAA WA ZANAKI UFANYE MANUNUZI
PURINA ONE: Hiki ni chakula bora kabisa kwaajili ya paka wakubwa, chakula hiki kina lishe bora kabisakwaajili ya paka wako
SASA INAPATIKANA DUKANI KWETU ESSENTIALS TZ
TUPO MTAA WA ZANAKI
BIDHAA ZETU ZINAKUFIKIA POPOTE KULE ULIPO
JUMLA NA REJEREJA
CLEARASIL MULTI ACTION: Hii ni bidhaa bora kabisa kutoka nchini uingereza, ni tishu zenye unyevu nyevu wenye dawa kwaajili ya kujifutia sura yako hii itakufanya uwe soft na hutokwi na majasho ovyo ovyo
BIDHAA ZETU NI BORA KABISA KUTOKA UINGEREZA
PIA UTAZIPATA KWA BEI YA JUMLA
GREENSHIELD HAND WIPES; hizi ni tissue maalumu kwaajili ya kusafishia mikono yako haswa pale unapotoka kushika kitu kichafu au umeshika sehemu ambayo sio salama
SASA UTSIPATA DUKANI KWETU KWA BEI RAHISI KABISA
Bidhaa zetu zinatoka nchini uingereza
KARIBUNI TUPO POSTA ZANAKI
ATHENA BEAUTY COTTON BUDS; sisi tunajali usafi wa masikio yako na ndio maana tumekuletea hizi pamba za masikioni ili uweze kusafisha masikio yako yawe masafi
BIDHAA ZETU NI BORA KABISA KUTOKA UINGEREZA NHAZINA MADHARA MAANA ZIMESIBITISHWA NA WADAU WA AFYA
WATEJA MUNAKARIBISHWA
HEALTHPOINT BABY CREAM; hii ni lotion yenye mchanganyiko wa mimea mbalimbali kwaajili ya kinga zidi ya mtoto wako, hii anatumia mtoto wa aina yeyote maana haibagui Ngozi, na inaharufu nzuri sana
SASA INAPATIKANA DUKANI KWETU
KARIBUNI KUFANYA MANUNUZI YA BIDHAA BORA KABISA
DUCK ACTIVE CLEAN; Hii ni sabuni iliyotrngenezwa kwa mfumo wa gololi/mvingiliko kwajili ya matumizi ya chooni, sabuni hizi zinaondoa baktelia na huleta harufu nzuri chooni kwako yani hutotamani kutoka chooni
SASA INAPATIKANA DUKANI KWETU
KARUBUNI TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
ECOLAB MOUTH WASH; Hii ni dawa maalumu kwaajili ya meno na mdomo kwa ujumla, dawa hii inauwa wale bactelia wanaojificha katika fizi na wanao sababisha meno kuoza
SASA INAPATIKANA DUKANI KWETU ESSENTIALSTZ PEKEE
pia inapatikana kwa bei ya jumla karibuni sana
FREE DELIVERY
E45 CREAM; Hii ni loshen iliyo pitishwa na madaktari bingwa wa nchini uingereza kwaajili ya tiba ya Ngozi yako kama vile chunusi, Ngozi yenye mafuta, madowa yatokanayo na vidonda au chunusi pia na zile Ngozi zilizo athiliwa na juwa kali
HAYA MAFUTA ANATUMIA MTU YEYOTE
KARUBUNI
CLINOMYN DENT; Hii ni dawa ya mswaki maalumu kwa wale wavuta sigara tu, hii dawa inaondoa ule ukungu wa njano kwenye meno yanayo sababishwa na uvutaji wa sigara
na inaufanya mdomo wako uwe unanukia muda wote
KWASASA INAPATIKANA DUKANI KWETU PEKEE
KARIBUNI SANA @essentialstz
SUPERDENT: Hivi ni vidonge kwaajili ya kusafisha na kuuwa bactelia mdomoni mwako, vidonge hivi utavitumia baada ya kupiga mswaki, hii inakata kabisa na inaondoa harufu mbaya mdomoni
SASA INAPATIKANA DUKANI KWETU ESSENTIALSTZ PEKEE
KUMBUKENI BIDHAA ZETU ZINATOKA UINGEREZA
@EssentialsTz
CHERRY BLOSSOM; Hizi ni kapeti zinazowekwa ndani ya viatu vyako, vinasaidia kukausha unyevunyevu unaosababisha miguu kutowa harufu
INAPATIKANA DUKANI KWETU KWA SASA KARIBUNI SANA
BIDHAA ZETU ZINATOKA NCHINI UINGEREZA
WASILIANA NASI KUFANYA MANUNUZI YAKO MAPEMAA
GOAT SKIN CARE; Hii ni sabuni iliyotengenezwa na limao na asali pia na maziwa ya mbuzi kwaajili ya kufanya Ngozi yako iwe bora kabisa na muonekano mzuri, hii huondoa chunusi na yale madoa yanayo sababishwa na chunusi
INAPATIKANA ESSENTIALSTZ PEKEE
KARIBUNI SANA TUPO POSTA
SANEX DERMO SHOWER GEL; Hii ni sabuni ya maji kwaajili ya kuogea, hii inatumika kwenye Ngozi yeyote ile maana una PH inayoendana na Ngozi yako hii husaidia kupenya ndani ya vitundu vya vinyoleo ili kutoa uchafu wote
UTAIPATA KWA SHILINGI; 8,450 TSH TU
TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
RE-GENGEL; Haya ni mafuta yanayosaidia kuzuia, kuondoa na kupunguza yale makovu na madoa yanayosababishwa na chunusi au makovu, pia yanafanya Ngozi yako kuwa nyevunyevu na nyororo
UTAIPATA KWA SHILINGI; 8,450 TSH TU
ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA
TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
SISI ESSENTIALSTZ HATUTAKI KUPANDISHA BEI ZA BIDHAA ZETU, TUNAELEWA UCHUMI WAKO NA NDIO MAANA TUNAWAPA BIDHAA ZETU KWA BEI YA KIRAFIKI SANA
UNAWEZA KUFANYA MANUNUZI YA BIDHAA ZETU KUPITIA MITANDAO YETU YAKI JAMII
FACEBOOK; Essentials
INSTAGRAM; https://t.co/3geJ9xWwih