THE FIGO AFFAIR ni moja kati ya kisa maarufu kwenye historia ya usajili duniani ambapo Waandishi nguli kuanzia Guilherme Balague walisema Its the transfer that changed the world football.
Haikuwa rahisi kwa Mchezaji kutoka Barcelona tena nyota akajiunga na Real Madrid, haikuwahi kufikiriwa lakini LUIS FIGO aliweza kufanya hivyo na alibadili historia ya dunia.
Ilianza wakati Engineer Florentino Perez akiwa ameketi kwenye jengo lake la ghorofa 14 ambapo zipo ofisi zake za ACS ambazo zinajihusisha na ujenzi, akasema kwenye milenia ya 2000 hii nitamsajili Luis Figo endapo nitachaguliwa kuwa Rais wa Real Madrid.
Ilionekana ni ngumu na hakuna aliyeamini hadi Marafiki zake, lakini Perez alikuwa na plan, akaokota simu yake asubuhi ile ya saa 3:13
ITAENDELEA KESHOπ