@HELBpage Mimi nimesimp sana. Admin ukona mchezo, you don't reply kwa dm na mnajifanya hamuoni comments zangu. Tf is wrong with you guys.
Niambiwe status ya loan ama nikuje hapo anniversary tower.
ID 41442938
@HELBpage Hata mimi sielewi, naona watu wamepata pesa. Nikiangalia kwangu status status ni allocated 0.00 kes
Mtuambie ukweli,haina haja tungoje pesa hakuna.