12th April 2026 MORO TOUR
Kutokana na uchofu wa safari na mechi mbili zilzopita, wapinzani Academy ya Tanzanite waliweza kupata ushndi mwembamba. Tumewaahadi safar nyingne tutawaweka wao wakwanza ili tupate matokeo tukiwa na nguvu kamili😄
11th April 2026 MORO TOUR
Hatukuishia kwa wanafunzi tu kuwapa somo la mpira bali hadi hawa vijana wa Enjoy Soccer Hapo morogoro wameenjoy wao soka kutoka kwet
Hongera sana Timu kwa ushindi huu mkubwa