@Mrkongajr Mr Blue_Pesa
Wakali Kwanza_Natamani
Fid Q ft Matonya_Usinikubali haraka
Ben Pol_ Pete
Jordan ft Mirror, Ngwea_Bila wewe
Kidumu_Haturudi Nyuma
Barnaba ft Beka, Amini_Natumaini
AY_leo
Bob Junior_Oyoyo
Top C_Ulofa
Pasha_Hidaya
Mwana fa ft Alikiba_Kiboko yangu
@goeroben@spana_Konki Sina maana iyo bro.....Nadhani rudia kusoma tweet ya mdau aliye tweet... Utanielewa zaidi.... Kuna mambo ya kuuliza lakini sio kuhusu kuwa busy na mazungumzo ya simu....
@Brother_0101 Mwanamke hutulia sehemu ambayo anaona nafsi yake inapata amani/imeridhia... Maana yake hapo mwamba ndiyo anaforce mambo...akili ya mwanamke haipo kwake....
@goeroben@spana_Konki Mfano kakujibu "nilikuwa na mazungumzo na watu wa nyumbani", What next?.. Ukiwa hujiamini na mahusiano yako ndiyo pale unaanza kupanic/kufoka, mtu akiamua kukucheat anakucheat bro. Kuuliza uliza sio njia ya kulinda mahusiano, zaidi ya kuonesha udhaifu kwamba hujiamini.
@kishoka_@spana_Konki Nyie ndiyo kila siku tunakuta confession zenu kwenye anonymous "mara mwanamke wangu kafanya hivi, mara imeenda imerudi" huwezi mchunga mwanamke kama mbuzi, utaishia kupiga yowe tu kila siku.....