Ukiona mtu kaamua kuondoka kwenye maisha yako mwache aende kwani kuna kitu kaona kwako hakina manufaa kwake, anakoenda anaona faida akilinganisha na anapotoka ,Pia ni faida kwako yeye kuondoka inafungua fursa ya kujitathimini , usahihi na ukamilifu 100% anao Mungu peke yake .
It's new day,new month and new year to me so long as God puts guard on me up to celebrate my birthday that's evidence to be alive with His mercy, Lets Thanks and Glory be of God and Jesus Christ who is in my life.
#HAPPY BIRTHDAY TO ME#🎉🎂🍼🍾🍷🌼
@debora_cutie Hata buku tu ntachukua nkuache, million 50 nyingi sana. Kwann kumaliza nguvu zangu bure wakati kuchukua pesa ni rahisi bila ata kutoa jasho😂
Odds za simba ni chache sana inadhihirisha kwamba watashinda ukilinganisha na Yanga, ila meza inaweza ikapinduka au!!? 😂😂
Mi nmebeti ya odds nyingi sasa Yanga msiniangushe tafadhali nmesongesha hapa na M-pesa, chonde chonde🙌🤗