@Radio47KE@alikauleni Habari za asubuhi Bwana Hassan, Mombasa tushafungua milango tayari kukitegea kipindi kama kipindi na sio kama vipindi vyengine,
Kama sio @Radio47KE basi niipi nyengine,
Watangazaji wapo sikatai lakini @alikauleni hakuna mwengine,
Naachia hapo japo anaweza kuendelea mwengine.
Leo hii ndani ya #BahariYaElimu Chacha Moroa ambaye ni Mchambuzi wa Elimu na Siasa pamoja na Wallah Bin Wallah na Titus Sakwa walimu na waandishi, watakuwa ndani ya kipindi tukijadili kichocheo cha Gen Z. Usikose!!!
@alikauleni#HapaNdipo