Today, we mourn the passing of Prof. @NgugiWaThiongo_. We were honored to bring his powerful stories to life through our theater and will continue championing his voice and vision.
His legacy lives on in every word, every performance.
#RIPNgugiWaThiongo
Honored to have performed at the Women Leaders Forum In Edutation on International Women's Day!
Our participatory theater performance sparked meaningful discussions on women's leadership in education.
#IWD2025#HappyWomensDay#Edutainment
Education is fun when entertaining and that's what FAMN have been doing for years.
For us arts is not just a display of talents but also a tool to share ideas, connecting with people and changing the community positively.
See what happened at the commemoration of #IDG2024
Happy InternationalDayOfTheGirl2024
Proud to swap places with dynamic ๐น๐ฟ High School student Maureen and learn about her #visionforthefuture
The future will be in good hands if we keep stretching out ours to support amazing young women like her #girlstakeover@Plan_tanzania
Tunapoelekea kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani, @WiLDAFTz kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo @scitanzania tunaadhimisha siku ya hii na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Jangwani tukilenga.
*Kuhamasisha jamii kuweka mazingira salama kwa mtoto wa kike na kumlinda dhidi ya vitendo vya ukatili.
*Kuhamasisha mtoto wa kike kushiriki kikamilifu katika masuala ya uongozi na ngazi mbalimbali za maamuzi.
*Kuimarisha mifumo ya utoaji taarifa za vitendo vya ukatili dhidi ya Watoto wa kike.
#idgc #idgc2024 #sikuyamtotowakike #sikuyamtotowakikeduniani #wildaftz
This #DayoftheGirl we're delighted to host aspiring leader Zafarani Ramadhani as she joins Ambassador Nicola Brennan, as part of @Plan_tanzania#GirlsTakeOver.
Zafarani is a Chemistry graduate, passionate about addressing climate change & implementing sustainable solutions. ๐ฎ๐ช๐น๐ฟ
For her first task in office, she attended the Girls Take Over commemoration event with Ambassador Nicola Brennan @IEAmbDar, where they both presented the inspiring poem, Phenomenal Woman by Maya Angelou.
๐ฎ๐ช๐น๐ฟ
#DayoftheGirl#IDG2024@Plan_tanzania
Kampeni ya #BintiShikaHatamu , ๐จ๐ฆ imefarijika kwa uwepo wa Habiba kuungana katika majadiliano juu ya usalama kwa watoto. Tunafahari kwa kazi ya Habiba katika kuhakikisha kesho salama kwa watoto wa ๐น๐ฟ! ๐จ๐ฆ inawezesha watoto kupata huduma muhimu na ulinzi. Pamoja tunaweka alama!
Shirika la Plan international Tanzania (@Plan_tanzania) wameanzisha campaign ya Hear our Voice Lengo ni kusikia wasichana wakipaza sauti zao katika changamoto wanazopitia katika jamii zetu.
#IDG2024#GirlstakeOver#uniteforpeace
Mambo vipi #KijanaMakini.
Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga kura bado linaendelea. Tafadhali tembelea kituo kilicho karibu nawe.
Kumbuka zoezi hili linakwenda kwa awamu kulingana na mkoa wako.
#JindikisheINEC#KijanaJiandikishe
Ikiwa wewe ni mtanzania mwenye akili timamu na umri kuanzia miaka 18 au kuitimiza ifikapo oktoba 2024, basi unapaswa kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura.
#JiandikisheINEC#KijanaJiandikishe
Naam! Naam!
#KijanaMakini Jitokeze kujiandikisha kwa Daftari la Kudumu la Mpiga kura.
Tutaanza kurusha hiki kipindi Clouds TV na Clouds Radio!
Kaa tayari na utufuatilie.
#JiandikisheINEC#KijanaJiandikishe
Ukweli ni kwamba hauitaji NIDA sio takwa la kisheria na kukufanya upate haki ya kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga ambalo limeanza mwaka huu 2024.
#KijanaMakini nenda kafanye maamuzi sahihi.
#KijanaJiandikishe#JiandikisheINEC
Katika kuelekea Siku ya Kimataifa ya Amani, tumeungana na wadau kutoka UN, UNDP, Roots & Shoots, Center For Youth Dialogue, Scouts Tanzania, Jane Goodall Institute, GNRC n.k kupanda miti katika eneo la Mtwara Miseti. ๐๐ฟ
#IDP2024#SikuYaAmani#CultivatingPeace#UN#UNDP