@lifeofmshaba Wanaharakati kutoka Kenya wanakuja kwa mwamvuli wa wanasheria ili kuvunja amani ya Tanzania. Hao hao waliosababisha vurugu Kenya ndo haohao wanakuja kutuvuruga.
Hatuwez kukubali
Hamuwezi mkalipwa ili muingie Tanzania kwa mwamvuli wa uanaharakati ili kuvuruga amani na kuvuruga taswira ya Tanzania. Yani mwanaharakati wa Kenya atumie pesa zake kujilipia nauli na malazi kuja kushuhudia kesi Tanzania? ⤵️
Kikundi cha Ngoma aina ya Kirumbizi kutoka Pujini Pemba wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Kusini Pemba leo tarehe 5 Mei 2025 katika uwanja wa Bustani ya Mwanamashungi.
@lifeofmshaba Rais Mpenda haki, usawa na maendeleo. Wakenya nchi yao imewashinda wanakuja kutetea mtu Tanzania? Kama wanaijua sheria watetee nchi yao kwanza maana kila kukicha ni machafuko kwao. Kiufupi hatuhitaji msaada kutoka nchi yoyote hilo suala tunalimaliza sisi wenyewe.

Muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki iliyopita.
#kaziNaUtu#TunasongaMbele