Katika safari yako ya kuweka akiba, FINCA inakuhakikishia kukupa viwango vya makato ambavyo havitakuumiza ili ufikie makengo yako.
#fikanafinca#fincatanzania
Tunakuona, Tunakusikia, na tunathamini kila chembe ya mchango wako kwa jamii na dunia kwa ujumla.
Na leo, tunakusheherekea.
Heri ya siku ya kimataifa ya wanaume.
#internationalmensday#mensday#fincatanzania
Tunaamini katika usalama wa kila shilingi yako unayoikabidhi kwenye mikono yetu.
Na hicho ndio moja kati ya vitu tunakuhakikishia.
#fikanafinca#fincatz
Huna sababu ya kuendelea kudumaza ndoto zako wakati tupo kuhakikisha ndoto zako zinatimia kwa kukusaidia kuwa na mpango bora wa kuweka akiba.
#fikanafinca#fincatz
Kama jana timu yako imefungwa, basi leo usitoke nje kuepuka aibu ndogondogo.
Unaweza kulipia bili zako na kufanya miamala yote ukiwa ndani kwa kubonyeza *150*19#
#fincatz#fincamobile