Mwanaume mzima wa miaka 23 ananiuliza mie mama wa miaka 55:
“Mbona hujatupigania kwa Kunda kwenye maandamano?”
Yeye kakaa nyumbani!
Hamna adabu kabisa.
Kuna Dada mmoja ni mzaliwa wa Mwika maeneo ya Kondiki (nimewahi kuishi huko), alikuwa anafanya kazi Korogwe, nataarifiwa ameuwawa kikatili sana. Mwili wake umeokotwa huko Korogwe Tanga msituni. Moto wake nae amechomwa moto (mwili wake umekutwa kwenye gari ya mama yake), na binti wake wa kazi pia ameuwawa. Naendelea kufuatilia zaidi kindly 💔
MAAMUZI yangu binafsi:
1. Ukiwa na simu ya TIGO/sikutumii miamala nitakupa CASH!
2. Simu yangu ya TIGO siitumii!
The rest of you can do as you please. But I am not taking nonsense from an irresponsible corporation.
@freemanmbowetz kwa upendo imetosha wewe ni tajiri sana kutuwakilisha watu wa hali ya chini.@TunduALissu wewe ni sahihi kuwa mwenyekiti wetu. @MariaSTsehai kwa upendo tunahitaji mtu ambaye tukonaye chini huku.
Sisi ni tumbaku nyie ni sigara...acheni wivu tutaka kwenda cooperate! Ulikuwa huku chini kama Mimi natuliku-support acha wivu, Mimi ni blue na mwekundu wewe ni kijani na majano.... Relax it's my time to shine!