>Kwanza nitangulize Samahani, hivi ni Kwanini Sisi Wakristo hasa (ROMAN CATHORIC) Tumeamua Kuitumia Hii Picha ya Brian Deacon Kua Ndiye YESU!?
>Tumeamua Kuiweka Kwenye Misalaba, Rozali, na hata Picha Makanisani Zipo Ufafanuzi Tafadhari ili nami niweze Kufahamu...
JE, IJUMAA KUU HUWABUDIWA SANAMU!?
Wakatoliki tunafanana na watu wanaofunguliwa kesi moja yenye vipengele vingi ili mshtakiwa akipangua hiki abaki na kingine na kingine mpaka akutwe na kosa la kuwekwa ndani. Katika suala la sanamu kuna mashtaka mawili,