Tunayo furaha kuwakaribisha mabinti wenye ndoto za kua wapiga picha wakubwa katika mafunzo ya siku tano ya upigaji picha.Kushiriki katika mafunzo haya tuma maombi yaka kupitia link hapa chini au tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kupata fomu. https://t.co/4KMICLLVD9
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, jiandikishe kwenye daftari la Orodha ya wapiga kura wa Serikali za Mitaa ili uweze kushiriki uchaguzi huu muhimu.
#shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu
Wanawake, sauti zetu zinahitajika! Tushiriki kikamilifu uchaguzi wa serikali za mitaa!
#shirikiuchaguziwaserikalizamitaa
The Executive Director of LJF participated in the CSOweek 2024 where they discussed how young people can be seen as assets rather than a burden.
Key takeaways: To ensure youth are empowered we must refocus our investments in critical areas like education, health and job creation
@francisca_damian has participated in Women’s Forum (Kigoda cha Wanawake) organized by TNGP and Stanbic bank in Arusha to discuss funding for gender equality and Women’s empowerment projects
Francisca Mboya, the Executive Director of Ladies Joint Forum, participated in the panel yesterday and spoke about how digital technologies like AI and data analytics tools help in monitoring and evaluating projects of NGOs.
#NGOs Forum 2024
"Ufunguzi wa Jukwaa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali: Tumekutana na Wasajili Wasaidizi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la NGOs kujadili na kujifunza zaidi kuhusu namna ya kuboresha utendaji kazi katika ngazi za Wilaya na Mikoa. #NGOForum2024#MafanikioPamoja"
Leo tumewatambua na kuwapongeza wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya NaCoNGO kwa kazi yao kubwa ya kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na uwazi. Hongereni kwa kujitolea na kuleta ufanisi katika sekta ya mashirika yasiyo ya kiserikali! #NaCoNGO2024
The Wasichana Wa Africa summit 2024.
This is Debora (20 years old), a university student and a member of the Female Photographers network, representing all girls working with the Ladies Joint Forum (ages 13-22).