Alichokiandika Msajili wa mahakama kwenye barua yake kama ufafanuzi.
1. Ndio lilikua lengo wakati wanapanga kesi na kutoa amri.
2. Bahati mbaya jaji aliandika hukumu nafikiri hakujua structure ya chama vizuri, akajikuta kwenye hukumu yake imemgusa Katibu mkuu na bodi ya wadhamini.
Amri ya pili ilikua inahusu matumizi ya mali tu.
Hii anayoita ufafanuzi Msajili labda aseme ni hukumu mpya ambayo imetolewa na msajili na sio hakimu wala jaji..
Impunity kwenye Nchi hii ni kubwa mno na sisi hatutakubali.
#NorefomsNoelection
Ukimpunguza mtu kwenye maisha yako, hatosema ukweli wote uliomfanya umpunguze Ataeleza tu sehemu inayokufanya uonekane mbaya na kumfanya yeye aonekane hana kosa.
Wakati mwingine tunapitia maumivu makali moyoni, lakini bado tunaonyesha tabasamu mbele za watu sio kwamba hatuumii, bali kwa sababu hatuwezi kuwaangusha wale wanaotutegemea