@Roma_Mkatoliki Ukimsikiliza vizuri alisena na haamini kama vyombo vya usalama havijui wanaoteka, shida ipo kwa wanaotoa maelekezo ya kuteka,.., kifupi jamaa kajitahidi bwana
@HusseinBashe Yaan bajet ya kilimo imeongezeka kutoka bilion 294 hadi trilion 1.248 sawa na asilimia 324, lakin secta ya kilimo imeogezeka kwa asilimia 1.8, yaan kutoka 2.6 hadi 4.6, kwa waliosoma uchumi watagudua kuna uzaifu sehem mkubwa sana