@SGahamanyi We mpumbavu usiihusishe Tanzania na Mambo yenu ya Rwanda na ukumbuke tuna siasa za kutokufungamana na upande wowote so wakati mwingine ukiwa unajadili mambo ya Tanzania usiwahusishe hao hawatuhusu.......
@SGahamanyi Unamlaumu Kagame kwa kila kitu kinachotokea ukanda wa afrika mashariki bado wananchi wake wanampenda....
katika Mambo ya Tanzania hujui lolote sisi watanzania ndo tunajua kinachoendelea we taarifa unazozitoa ni za kusikia hujashuhudia kaa kimya!
@SGahamanyi Chuki yako kwa Kagame ni kubwa sana kiasi kwamba kila linatokea katika ukanda huu wa afrika mashariki lazima umhusishe we deal na Rwanda yako Mambo ya Tanzania achana nayo......
@0101DUBU Since day one huyo mtoto ilionesha hajatulia hebu fikiria mtoto wa la saba wa kike anamfata mvulana wa form four na kumtongoza hii hapana aisee atakuwa alikuwa na pepo wa ngono......
Usijaribu kuwa na huyo mwanamke tafuta mwanamke mwingine asiyekuwa na mtoto.......
@0101DUBU Wewe ni mwanaume futa namba kata connection nae hata ikiwezekana block kila mahali asikupate halafu uone hivyo vitisho atakupa kupitia wapi......
@0101DUBU Soy boy hawaishi kmmk yani kila kitu kipo wazi bado unamng'ang'ania.
Kosa la kucheat kwa mwanamke halisameheki kwa sababu huwa hawacheat bahati mbaya......
Ataendelea kukucheat tena na tena kwa sababu kashakuona mdhaifu......
@Labella_Mafia95 Anajua kwamba endapo akisafiri akija kurudi anaweza kukuta meza imeshapinduliwa...... Rejea rais wa Rwanda 1994 Hali ilikuwa hivi hivi kusema ahudhurie mkutano Dar es salaam wakati anarudi ndege ikatunguliwa kilichotokea baada ya hapo ni history
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa,
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?
Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake.
Hautosonga mbele
Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?
Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?
Ulikutana nae mitaani?
Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?
Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.
Ni bora mkewako akuulize kwamna
"what have you ever done for me?"
Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??
Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?
Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary,
Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.
Usilipe ada zake
Usimlipe kodi.
Ngoja nikuambie.
Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.
Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.
Wewe ndiye utamlisha.
Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake
Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa
Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi
Thank you for your time.
REPEATED.
Liverpool anarejea kileleni mwa ligi kuu ya uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Chelsea kwenye uwanja wa anfield, mabao ya Liverpool yakiwa yamefungwa na Mo Salah na Curtis Jones huku goli pekee la Chelsea likifungwa na Jackson........
@EsirEid Wanashindwaje kuwakamata watu โwanaojidai kuwa askari polisiโ wanateka watu hadharani katikati ya jiji la dar es salaam kweupe wakiwa na pingu,Smg na magari kabisaaa!!?? Hapa ndo pa kukazia...