@CrownMediaTZ Hatukatai kukopa ila tunapotoa maoni yetu isiwe sababu ya kupanic nchi yetu sote hii, na bila sisi hakuna watawala, maana watamtalawa nani? Busara inahitajika katika kujibu hoja za wananchi mnao waongoza
@MsigwaPeter Awamu zote zimejitahidi Kwa wakati wake ila awamu ya Tano ilikuwa Bora zaidi na wala hatukuwaona kuliongelea hili, always nachukia mtu mnafiki hata kama nakukubali sana ila tuwe wakweli na wa wazi muda wote
@mdudechadematz @SuluhuSamia Badilikeni Chadema hizi siasa zenu za kipuuzi sio za kujenga,tafuteni njia mbadala yakujipambanua, mtu anaetaka kukudhuru hawezi kuweka hadharani mipango yake, msitake tuamini mnajiteka kweli kwa hizi kauli zenu....
Mwanaume usimtambulishe Mpenzi wako kwa Mwanaume aliyekuzidi Hela
Mwanamke usimtambulishe rafiki yako aliyekuzidi uzuri kwa mpenzi wako.
Nimewakumbusha kwa Mara ya mwisho.