Uliye kula nae bata miaka kumi anaweza ashindwe kukuvumilia kwa mwaka mmoja wa msoto.. Penda na kujari watu ila ukumbuke ulizaliwa peke yako misalaba yako mingi utabeba wewe ila mpunga wako walaji ni wengi weka matarajio mengi kwako na sio kwa mwingine ahijalishi ni nani kwake
Mimi hata sikua na ubaya na police waliniuliza "Mbona unatembea usiku?"
Nikawajibu "Hapo mlipo nyie ni mchana nije ?"๐ sasa hivi nipo hospital hata sijui nimefikaje .๐๐