FAHAMU NJIA ZA KURIPOTI DAWA INAYOKULETEA MADHARA
✅Ni rahisi/Pia ni bure kuiripoti dawa inayokupa madhara
Mfano
Dawa kukuharibu ngozi, mapele na kuwashwa sana, tumbo kusumbua/kuharisha/kutapika sana, Mdomo kupasuka..
Jifunze leo 👇
RT, Tuokoane 🇹🇿🙏
#AfyaSunday#TOTMedics
Karibu @caresite_pharma
📍Mabibo Mwisho Stand ujipatie Vipodozi sahihi kwa afya ya ngozi yako pamoja na ushauri wa afya ya ngozi kutoka kwa Wafamasia.
24/7
Je, unahitaji kupata mtoto lakini hauna uhakika wa mwenendo wa siku katika mzunguko wako?
Je, unahitaji kufahamu siku za hatari katika mzunguko wako ili kuepusha ujauzito usiotarajiwa?
OVULATION TEST KITS ZINAPATIKANA
•CARESITE PHARMACY•
📞/💬 0673534727
📍Mabibo Mwisho stand
#TOTMedics tumefanikiwa kuwaletea @caresite_pharma CareSite Pharmacy ambapo utapata huduma za kifamasia masaa 24.
✅Dawa
✅Vifaa Tiba
✅Vipodozi
✅Virutubisho
Tuambie unataka nini tukusaidie
📞/WhatsApp 0673534727
DM @caresite_pharma@Famasia1 now
📍Mabibo Mwisho stand
WE ARE NOW OPEN
CareSite Pharmacy @caresite_pharma will be serving you with quality care.
24 hrs service & Delivery at your doorstep.
Medicines✅
Medical Devices ✅
Supplements ✅
Personal care products & cosmetics✅
📍MabiboMwisho Stand
DM @caresite_pharma NOW
#Famasia
WE ARE NOW OPEN
CareSite Pharmacy @caresite_pharma will be serving you with quality care.
24 hrs service & Delivery at your doorstep.
Medicines✅
Medical Devices ✅
Supplements ✅
Personal care products & cosmetics✅
📍MabiboMwisho Stand
DM @caresite_pharma NOW
#Famasia
Earlier today i got a chance to represent @tapsatanzania in meeting on dissemination of clinical pharmacy services survailance to Minister of Health @wizara_afyatz
I am impressed with commitment and acceptance of doctors,nurses and pharmacist to work as a team.
@association_mat
Sisi kama Wafamasia tunapanga kukutana kwa lengo la kuimarisha chama chetu ili kuendelea kukuza na kuendeleza taaluma ya Famasi Tanzania. Taaluma yetu ina umuhimu mkubwa sana katika kulinda afya ya jamii na hivyo kuchangia katika maendeleo ya nchi.
”Lengo kuu la kupima na kuonana na wataalamu wa afya mara kwa mara ni kujua hali ya afya yako, pamoja na kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa yasiyoambukizwa”@petersonchris_
Madaktari
@petersonchris_@kalegamyeh
As we Celebrate World Pharmacist’s Day 2020, I would like to bring Attention to the Integrity of Cold Chain Supply Chain in Sub Saharan Africa especially in Preparation for Vaccine Distribution in these Challenging Times! #WorldPharmacistsDay2020@FIP_org @FIPYPG @tapsamuhas