Baba huyu alituonyesha upendo mkuu tangu mwanzo wa sherehe ya send off ya binti yake neema na baadae tuliweza kupata kumbukumbu hii nzuri ya picha ya pamoja na mzee wetu huyu.
#yafananoyanashangweresha😀😀
VALENTINE SPECIAL 2022 Feb.
👩❤💋👨Kama kweli unampenda (Anaweza kuwa ni Baba na Mama au Mzazi na Mtoto au Rafiki na Rafiki yake au Mtu na Mpenzi wake(wapendanao) 14/02/2022.Onyesha upendo kwa kupendeza nae yule unaempenda kwa kuvaa T-shirts hizi kali,
WEWE NI SAWA NA MWANANGU 2020 🤱🏽🤱🏽ilikuwa moto🔥Assist Orphans Birthday Party 🎁🎂❤️🤝🍾📸🎤 Mungu ambariki kila mmoja aliyehusika kulifanikisha hili kwa mwaka huu🙏🏽🙏🏽 #Poweredbyfananopacha
WEWE NI SAWA NA MWANANGU ASSIST ORPHANS BIRTHDAY PARTY. >Tendo zuri la baraka ufanywa na watu wazuri wanaojua kuziteka baraka na wala sio wingi wa ujazo wa mali, bali ni nafsi iliyojitazamisha upendo wa dhati na kusaidia.