A sick body is like a prison, My relationship with my body has changed. I used to consider it as a servant who should obey, function, give pleasure. In sickness, you realise that you are not the boss. It is the other way around.
@Glock9_dripp@Ja__Migori Kuna wale walisema usimjibu mpumbavu usawa na upumbavu wake huenda usionekane mpumbavu. Hapa tunaongea mambo ya busara ambayo watoto kama wewe hawaelewi.
@hibyar1@Ja__Migori Si mambo na machungu. A respected man anafaa kukaa kama mtu mzima. Si kila siku mambo mabaya. Sasa msichana wake akiona akiwa na hiyo maneno si pia naye ataharibika. Ndio maana waswahili walisema mtoto umleavyo ndivyo ........