@master_plan9 Sio wote lakini,
Mimi kuku ninaokula na Familia yangu wanatoka Mafinga kama unapajua, the same Maharage, Unga wa ugali, mahindi ya kuchoma, mayai, mboga za majani, Maboga, Viazi, nk
@sinahisa Asubuhi nmeenda kwa fundi kumwachia gari atengeneza then mimi niwahi church naambiwa gharama zake laki 420, nampigia aliyegongesha anasema labda nikutumie 60, tokea hapo siazimishagi gari
@sinahisa 2013 nilimuazima mtu gari akaenda ukweni akagonga geti, akarudi usiku na ilikua nasafr kutoka Mbeya to Iringa usiku huo huo, nilipofika Igurusi Checkpoint nikakamatwa na askari kuwa gari imepata ajali nilishtika sana kuangalia imebonyea balaa, kumpigia anajibu nisamehe niliogopa
@McinikaWaLamar Natanguliza shukrani sana, nijiandae hiyo 27 watoto wangu walipiga simu mchana kuwa mtungi wa jikoni kwao karibu unaisha, au kwa kusave watumie kwenye jiko la mama Yao? Nikakataa