@mshambuliaji Toka lini tbc Wakarusha matangazo kwa kiwango cha HD wasituongopee iyo mitambo ya kupokelea mtangazo ya HD wanayo maana sijawai kusikia ata siku moja wakitangaza kama matangazo yao yanarushwa kwa kiwango cha HD
@AlipipiM70104@Mwabuk2Boniface la kwanza unatakiwa kujua kabla ya kuropoka mtanganyika sio mzanzibari ila mzanzibari ni mtanzania la pili mnalotakiwa kulitafuta ni kuipata Tanganyika yenu ndio mje na hoja ya kuongea sio saizi mnaropoka ropoka tu
𝐌𝐚𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐛𝐞𝐧𝐤𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐍𝐁𝐂 𝐊𝐢𝐠𝐚𝐧𝐣𝐚𝐧𝐢.
Huna haja ya kwenda kwenye matawi yetu ili kufungua Akaunti ya NBC. Fungua Akaunti ya NBC mwenyewe kwenye NBC Kiganjani na uanze kufanya miamala hapo hapo.