Kuishi na mtu anayeona yeye pekee ndo ana haki ya kufanyiwa kila kitu ni mtihani kweli😃
Kila utakachofanya anaona kawaida kwasababu anastahili yeye tu kwanza sahau kutendewa unavyo mtendea pia sahau mtu huyu kuwa na shukrani.
Tenda wema nenda zako ukiwa na matarajio utajiumiza
Good morning wapenzi wangu😘
Karibuni chupi nzuri na bora 🔥
📍Chupi sita 30,000
Unaruhusiwa kuchanganya design tofauti tofauti
📞0754-618108
🛵Tunakuletea popote Tanzania