Hivi ni kweli kwenye biashara yako Haujawah kupata Milioni 15 ya Pamoja Kama faida !?
Na Kama ni kweli umechukua hatua gani !?
Na Je unazifahamu kafara 10 Za biashara !?
# Anza sasa๐
Tofauti iliyopo kati yako wew na wao ni moja tu ! Wew tayar ulishaanza biashara na pia upo na uzoefu wa kutosha,
ingawa changamoto ni nyingi ila ipo siku utakuwa Stori midomon mwao na utashinda vita.
#Anza sasa!
#Amka ๐
Leo ntawafundisha kitu ambacho wafanyabiashara wengi ambao ni chipukizi hawajafanikiwa kujua ๐ฆ
Ili ufanikiwe kushinda vita ya kiuchumi ( Ukue kibiashara) kuna vita unatakiwa kushinda !
Naomba mkae tayari kwa ajili ya kipindi
#anza sasa
# Amka ๐
Tofauti iliyopo kati yako wew na wao ni moja tu ! Wew tayar ulishaanza biashara na pia upo na uzoefu wa kutosha,
ingawa changamoto ni nyingi ila ipo siku utakuwa Stori midomon mwao na utashinda vita.
#Anza sasa!
#Amka ๐
Takwimu zinaonesha
-75% ya pato la wa ๐น๐ฟ linatoka kweny kilimo
-65% ya malighafi Za viwandani zinatoka kweny kilimo
-30% ya bidhaa zinazo uzwa nje ya nchi (exports ) ni bidhaa Za kilimo!
- pia kilimo kinasaidia kwa 65% kwa ujumla wa maisha ya wa ๐น๐ฟ.
๐ Amka!
#Anza sasa!
Kwa kila kinachoendelea kwenye mapitio yako ya Biashara ! ( ups & down ) hayo yote yatafanya waliokua wanakucheka na kusema tuone utafika wapi !? Wao watarudi baadae kukuuliza umewezaje na nini wafanye ili wafikie hapo ulipo
#Keep Pushing
# Anza sasa!
Ukinifanyia ubaya uku ukiwa unajua kuwa ulichofanya ni UBAYA BAs mm nimesamehe ๐ ๐ฅ ila nakuahidi sitakaa NISAHAU!๐ซ
#โAlQisas Hakkih โ mm ni Mbaya sana kweny 1 vs 1.โฝ๏ธ
It seems like hard but, it's very easier to know how uh going to achieve ur own destiny .....by burning ๐ฅ ur all bad habits and to improve ur self challenges.........
Changamoto na ugumu wa maisha visifanye tukakata tamaa kias kwamba tukasahau kuwa tuna nafas ya kufany zaid ya hapa Tulipo ,,let's do it ma men wakat sahihi ni wakat wa Mung๐๐ฃtuzidi kumtumainia(Ameen)๐๐ช
Ukiona mchongo unamfaa rafiki ako ..we muunganishe tu Broe chuki ni ndogo sana ikiwa kama mtafanikiwa pamoja na itasaidia kuboresha ushkaji..๐๐.#papie