Wazazi wake waliachana akiwa an miaka 6 tu kijijini kwao Batie Cameroon, akalazimika kwenda kuishi kwa shangazi yake, alishindwa kuendelea masomo ya awali kwa kukosa karo ya shule akalazimika kufanya kazi migodi ya mchanga akiwa na miaka 10 tu.
Ni sahihi na ni kweli kabisa Qurโan inamtaja Issa kwa jina mara nyingi zaidi kuliko Mtume Muhammad (SAW).
Muhammad (SAW) anatajwa zaidi kwa sifa zake na nafasi yake kama Mtume wa mwisho.
Ni uthibitisho wa moja kwa moja kwamba Qurโan inaeleza historia ya ufunuo wa Mungu kwa wanadamu,.
Zaidi ikithibitisha nafasi ya Muhammad (SAW) kama Mjumbe wa mwisho wa Mungu.
So hakuna Nabii au Mtume mwingine duniani, wote unawaoan na kuwaskia ni FAKE
Qurโan inasimulia kwa kina kuzaliwa kwa Isaa ama Yesu , miujiza yake, na hatima yake.
Eg
Kuzaliwa kwake kwa muujiza bila baba (Qurโan 3:45-47, 19:16-35).
Miujiza yake kama kuponya wagonjwa na kufufua wafu (Qurโan 3:49).
Suala la kusulubiwa kwake (Qurโan 4:157-158).
Kuna sura nzima inaeleza kuhusu Mariam
Pia ni uthibitisho mwingine kuwa Qur'an ni ufunuo wa Mungu, if angekuwa ameandika Muhammad (SAW) angejipa Shout out kibao
Qurโan inamtaja zaidi kwa majina yake ya sifa kama "Rasul" (Mjumbe), "Nabi" (Nabii), "Abd" (Mja wa Mungu) badala ya kutumia jina lake moja kwa moja mara nyingi.
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.