Wacha sasa tutizame highlights za hapo ugani Gtech kati ya mwana Brentford na One Game a Week FC. Kumbuka mwana Chelsea amesajili wachezaji mahiri mno akiwemo Morgan Freeman kwa kima cha pauni milioni 117, ina maana Brentford achunge sana. Nne sifuri ndio ubashiri wangu mamaee