Relax bois. Success iko so guaranteed as long as unajituma. Smile at that waiter na umwambie anakaa poa, gotea dereva na umshow akue na siku fiti, uliza mathe wa kibanda ameamka aje. Be a happy soul to yourself😁na to those around you. Your win is imminent, act like it buana💯
Ndio ugly hardworking stoic unmotivated and aimless nigga naamka nashangaa fare ya sabini nitatoa wapi leo. Nachota maji naosha uso kabla nipige dua nikule ugali ya jana na chumvi. Napiga shati yangu ya chwani guu mosi guu pili hadi stage. Napata wakenya wenzangu wamekunja sura ni kama mimi ndio nilipigia Kasongo kura. Donda ambaye aliamkia busaa anasanya zake polepole gospel ya Muhando 'Nibebe' inapogurumisha spika za nganya. Nafuliza 1 bob naedit message mbio mbaya before nifikiwe. Haya yote sawa lkn swali bado ni moja?