ASALAM ALYHKUM NDUG ZANGUNI. Bwana Yes Asifiwe. Leo Tarehe 21.10.2024. saa 1.30 MCHANA DEREVA mwenzet wamemfanyia tukio . CONGO maeneo ya Kwa Mjeshi pale mlimani
2014 tulipigwa zaidi milioni 200$ kwenye Escrow tukaambiwa “sio pesa za umma.”
Leo Bank ya Standard Chartered ya HongKong inaidai serikali milioni 145$ ambayo ni zaidi ya Bilioni 390, pesa ile ile iliyopigwa Escrow.
Laiti kama hasira hii ingeenda kule😰
Sintofahamu imezuka katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam, baada ya wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga kufunga biashara zao.
Mbali na kufunga biashara zao, pia wameweka vizuizi katika barabara kuelekea Sinza na kuzuia magari kuingia na kutoka katika kituo
kamati ya Rufaa ya Mawakili kwa ilichokiita Maslahi ya Umma imeondoa Jina langu nisigombee Urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika TLS.
Japo sijakubaliana na uamuzi huu wa uonevu usio zingatia sheria, Nitazungumza kwa kina na vyombo vya habari.MAPAMBANO YANAENDELEA.
Rais @SuluhuSamia , sikiliza maneno ya kiongozi wa dini hapa, sio wale matapeli wa madhabahu wakina Mwamposa unaowahonga kila siku kwa rushwa unayoiita “sadaka” na “zawadi” ili wakufanyie PR. ⬇️
Sheria zetu zilivyo za kipuuzi, sio ajabu ukafungwa miaka kibao tu jela na faini ya mamilioni kwa kosa la kuchorachora picha ya Rais.
Freedom of expression ni tusi la nguoni kwa watawala wetu.
MCHANGO WA KULIPA FAINI YA MILIONI 5 YA CHAULA.
Namba ya Tigo pesa: 0717044994 James Mbowe
M-PESA: 0755044994 James Mbowe
#Justice4chaula
Tunataka kufikia jioni ya leo 5M ilipwe ili Chaula atoke gerezani akale weekend nyumbani. Tuma jero, buku, laki, milioni.