@tanescoyetutz HIVI HAPA KIBADA MAENEO YA KWA JOTI KUNA SHIDA GANI? HAKUNA MASAA 48 SASA, HALAFU BAADA YA NYUMBA MBILI UPO MUDA WOTE HATA KAMA MGAO, JE HII NI SAWA? NI LINI MTAACHA KUPOKEA RUSHWA ILI WATU WAPATE KAMA NI MGAO KWA HAKI? HIZI NI HUJUMA ILI WATU WA KIBADA WAICHUKIE SERIKALI YAO.