UZI
Kilimo cha mende ni aina mahususi ya ufugaji wa wadudu unaohusisha ufugaji wa mende kama mifugo katika vituo vinavyodhibitiwa. Kilimo kama hicho ni tasnia kubwa nchini Uchina, ambapo majengo makubwa ni makazi ya mamilioni ya wadudu
wadudu. Wanaweza kukuzwa kama chanzo
The richest man in Babylon : the book that puts ethics to work : Clason, George S. (George Samuel), 1874-1957 : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive https://t.co/MTD6tTF5wI via @internetarchive
Angalia Joti alivyozimwa Moto ππππππ
Kwenye Harambee haonekani, wanaonekana Baba levo na Mwinjaku tu πππππππππππ½
Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la DSM, Yuda Thadei Ruwaβichi akiwasilisha maoni ya Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC).
Maoni ya kanisa yametolewa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu miswada mitatu ya sheria iliyowasilishwa bungeni.
Miswada hiyo ni pamoja na; Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na Sheria ya Vyama vya Siasa
Maoni ya Kanisa takatifu Katoliki la Mitume umejikita katika muundo wa tume ya Taifa ya uchaguzi ambayo inashughulika na masuala ya uchaguzi.
Ukisikiliza maoni ya Kanisa Katoliki kuhusu miswada ya sheria ya uchaguzi na vyama vya siasa, Maaskofu wakatoliki waliketi chini, wakasoma na kujadiliana.
Waumini wa Kanisa Katoliki wanapaswa kujivunia sana kwa kuwa baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) limekuwa mbele kutetea haki za jamii.
Kama siasa ni mfumo wa maisha unaowahusu watu, Kanisa haliwezi kukaa pembeni. Likikaa pembeni litatenda dhambi ya kutotimiza wajibu kwa jamii.
Tuzidi kuwakumbusha wanakanisa kuwa wajibu wa kutetea na kulinda haki za kiraia na binadamu ni sehemu ya uinjilishaji na umisionari wa Kanisa.
Tusiruhusu kupokonywa furaha ya uinjilishaji na ari ya umisionari huu. Kuinjilisha ni kuufanya uwepo wa Mungu ujidhihirishekatika ulimwengu wetu.
Mungu, katika Kristo hamkomboi mtu mmoja tu, bali pia mahusiano ya kijamii baina ya watu. Upendo ni tunu ya kwanza ya haki. Uhuru ni tunda la haki.
Ndio maana, moyo wa Injili tunaona uhusiano wa kina kati ya uinjilishaji na maendeleo ya mwanadamu. Kumjua Mungu ni kutenda haki (Yer 22:16)
Kanisa takatifu Katoliki la Mitume haliwezi kufumbia macho wajibu wake katika kuchangia makuzi ya jamii na kuhimiza βunyofu wa mwenendoβ.
Himizo la kuzingatia haki na kutenda mema, ni himizo linalolitaka Kanisa lijihusishe na jamii. Kanisa lazima litoe maoni katika masuala yanayogusa jamii.
βMimi ni mwanadamu, hakuna suala linalomuhusu mwanadamu yeyote ambalo halinihusuβ. Huu ni wito wa kanisa katoliki kwa jamii yote ya watanzania.
Brigedia Mtikila, MMM.