Young man:
No matter how much she loves you.
Women always keep a backup before a breakup.
Never stop building yourself just because you are happy in a relationship.
Acheni kutishia tu watu kuhusu motoni, wafundisheni watu ukubwa wa upendo wa Mwenyezi Mwungu. Hakuna anayekuzwa imani kwa vitisho, mnatengeneza tu watu wanaoogopa kufanya maovu sababu ya adhabu badala ya kuchukia ubaya wa maovu.
@TMnyama4_ Eti hajawahi kucheat!!!! Una uhakika gani? Au uko nae muda wote..
Shukuru hujawahi mfumania akikucheat..
Next time akiondoka mwambie aende asirudi tena kwako alafu wewe ujipange vizuri utafute kibunda
Miaka mingi sana nilisikia wimbo ambao simkumbuki mwimbaji, wimbo ulisema
"Machoni kama watu, moyoni hawana watu, imani imetoweka mabaya yanaongezeka"
Wimbo huu unasadifu mengi yaliyopo katika jamii yetu
"Basi nasema neno hili,.. msienende kama Mataifa waenendavyo," Efeso 4:17
@TMnyama4_ Kuna umuhimu wa kusoma sana vitabu maana kwenye 48 laws of power Rule #2 inasema “Never put too much trust in friends; learn how to use enemies” zingatia hii
BABU ALISEMA…
"Kabla haujafanya maamuzi kwanza inabidi umueleweshe kuwa umemuoa, ameolewa, na sio mmeoana"
Aliongea kwa sauti ya chini sana, na alishajua sijamuelewa, ama sijasikia asemacho. Babu akaendelea.
"Wapo wanawake wanataka kuwa na ndoa, wengine wanahitaji kuwa👇
Mwanaume usitake huruma katika mahusiano hata siku moja.
Kaza pa ku kaza, zegeza pa ku legeza.
Kuna muda unabembeleza mpaka unatoa machozi sio sababu unampenda sana hapana.
Just a game.
Ukiijua game lazima uwe umefanya mambo kama hayo.