Kuna mtu ana tani zaid ya 50000 za brown sugar anauza kwa tsh 2340 kwa kilo moja mzigo upo dar es Salaam, namba za mawasiliano +255 758 301 199. Help me to retweet yamkin mteja yupo kwenye timeline yako๐
@bajabiri @__abdulazack @_Mrc_09 @MarekaMalili@Adventure_36@Neypaul01
Kiuhalisia hakun aliyechukua nafas ya Nancy na hatotokea๐ in business term & company image yule atabaki kuwa kwenye vitabu vya makondakta nchini na tilisho kiujumla, yeye ndiye aliitangaza tilisho ikajulikana, yeye ndiye ameifanya kaz ya ukonda ikaonekana ya maana sana kwa watu
Kampuni ya Mabasi ya Tilisho bwana Hawajawahi kukaa kinyonge hata siku Moja, wao ndo wakali wa hizi kazi, kikitoka chuma kina ingia chuma.
Watu wengi wamekubali kuwa huyu kamuacha mbali Nancy.
Wewe mwenyewe si unaona
@TBoundBuses Wamiliki wa mitandao ya mafuta ndio maboss wa nchi n wenye nchi, wakiamua wanapandisha watakavyo na mafuta sio k wameagiza ila yapo hapo kigamboni
@ColfinahJ@eastafricatv Unafikir wanajali hilo n huku haohao ndio wamiliki wa visima vya kuhifadhi, wamiliki wa kampuni za uuzaji n usambazaji๐คฃ๐คฃ vita siku 2 irani ila bei ya mafuta yaliyop Tanzania tayari yaan yaliyopo kwenye hifadhi bei imepanda na sio kwamba ni ya kuagizwa ila yapo vituoni
Wanasem akiba ya tz n miez 3 ila cha ajabu bei imeshapanda๐๐๐คฃ๐คฃogopa watu hawa,hawajali yaan vita siku 1 Iran, ila bei ya mafuta yakiyokwisha pakuliwa tz imeshapanda๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃyaan yapo kwenye vituo sio yaliyoagizwa, ama kweli hii biashara ya mafuta imeshikiliwa n wakubwa wa gavo
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema misukosuko iliyotokea hivi karibuni baada ya uwepo wa mapigano kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran tayari imepeleka bei ya mafuta duniani kupanda kwa 13% hadi jana ambapo amesema kutokana na misukosuko ya aina hiyo Tanzania ina kila sababu ya kuimarisha akiba ya kimkakati ya hifadhi ya mafuta ili hata bei ikipanda Tanzania isiathirike.
Rais Samia amesema hayo baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es salaam katika eneo la Kigamboni Jijini Dar es salaam, leo March 03, 2026.
โKwa Wizara ya nishati naielekeza kuimarisha akiba ya kimkakati ya hifadhi ya mafuta ili kuongeza uwezo wa nchi kujilinda dhidi ya misukosuko ya Kimataifa na nishati ikiwemo mabadiliko ya bei katika soko la dunia โ - Rais Samia.
โKama tunavyoona misukosuko iliyotokea hapa karibuni wiki iliyopita na tunayoendelea nayo, tayari imeshapandisha bei ya mafuta kwa 13% hadi jana, sasa hatujui leo na siku zijazo lakini tumuombe Mungu Watu wale wakae juu ya meza wazungumze wakubaliane na misukosuko hii iishe ili Dunia irudi katika hali ya kawaida kuendesha chumi za Nchi zetu, ni vema kutokana na mabadiliko hayo ya Dunia kukawa na mradi ili kujihakikishia usalama wa mafutaโ - Rais Samia.
#MillardAyoUPDATES
Watanzania asilimia kubwa tunakuwaga na usenge mwingi sana
Jitu linatokea huko Mvomero au Nachingwe
mambo ya vita vya mashariki ya kati yuko front line, ila migogoro ya Tanzania na vita katika nchi za Africa hutoamuona.
Maanina zenu watanzania wa mshariki ya kati na mnaishi TZ
Sio trace tuu, hata channel za movie za Nigeria hazipo, walichoongeza n channel za dini had za kimalawi, @azamtvtz ukitoa ligi ya bongo hawana channel nyingine za maana kabisa
Mmmh who advices her and writes speech for her coz kila akipewa maiki the rest is annoying. Nachoka mimi mpwa wa clemence mwandambo wanyaki wanasema Ngateleee heeeeh.
โVIJANA watarejesha heshima ya nchi yetu, watajenga UPYA nchi yetu tuwasikilize, twende nao na VIJANA WASIKATE TAMAAโ FATHER KITIMA.
Hii inayoongea ni PhD Ndugu zangu sio Elimu mbali mbali.
REPOST 200
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐