If the price of your peace is being the villain, wear the role like a crown. Own it, embrace it, and give the performance of a lifetime. A KING IS NO Man’s BOY
in order to get a job u need to get a degree but in order to get a degree u need money but in order to get money u need a job but in order to get a job u need a degree but in order-
Bado kuna kitu hatujaelewana kuhusu tawala zilizopita na tawala za sasa!!
Regime ya 1995-2015 agenda kubwa hasa za wapinzani zilikuwa Rushwa & Ufisadi!!
Tulipofika mwaka 2015 Gari likapiga U-turn
Agenda mpya ikawa introduced hapa!!
Yes kwa kiasi kikubwa Banza aliweza kupunguza ufisadi & rushwa 👏
So agenda za zamani zikawa ziko sorted asilimia fulani!!
Alichokosea Banza ni ali-introduce agenda nyingine mpya ambayo huko mwanzo haikwepo, na kama ilikwepo haikuwa kwa kiwango kikubwa kama cha kipindi chake!!
Ndipo ukaanza #Utekaji #Uuaji Maiti zikaanza kuokotwa baharini
#FreedomOfSpeech ukikosoa unashughulikiwa!!
#MediaHouse zikaanza kunyimwa uhuru wa kukosoa!!
#Wapinzani wakaanza kupewa kesi na kufungwa, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe!!
Wapinzani wakaondolewa Bungeni kisiasa, na mpango ulikuwa kuua upinzani!!
Nchi ikawa bubu ba iliyojaa hofu kubwa!!
Ilikuwa ni regime ya UDIKTETA!!
Hivyo anko aliweza kuzuia ufisadi & rushwa lakini alileta life style nyingine mpya kabisa na mbaya coz iligusa uhai wa mtu!!
So stop saying kwanini Magu mlimkataa, Yes tulimkataa coz ali-introduce kitu kibaya nchini, ingawa aliweza kuzuia rushwa na ufisadi!
Alicho ki-introduce Banza kwenye utawala wake, hawa waliomfatia wameendeleza tena wameenda xtra miles!!
MBAYA ZAIDI HAWA WA SASA WAMERUDISHA NA ZILE AGENDA ZA ZAMANI RUSHWA & UFISADI!!
Yani hawa wa sasa wanakula #Rushwa wanafanya #Ufisadi Then Wanaminya Uhuru wa watu kukosoa, #Wanateka #Wanaua #Wanabaka #WanaBan Media house!! Wanafunga wapinzani…….
Ndio tuko hapo sasa…..
@hy_wemmy Adulting is realizing support was a bridge, not a lifestyle, and needing help starts to feel heavier because you want your dignity to come from self-reliance. It’s uncomfortable, but it’s also growth, your pride is catching up to your age.