@chapo255 Sema mwana huw akianza show tu nakumbuka ile kauli
"Huwa nikikosa kazi naimba imba na mtu ambaye huwa tunaimba naye ndie amelala hapo"
Hii kitu huwa inanifanya naona gap kubwa la domokaya
@TitoMagoti Anachosema judge mkuu ni kwamba mahakama haiwezi turn itself to prosecutor
Its like si muwaletee tuwaonyeshe kwenye hukumu.
Yaani watu wapeleke mashtaka mahakamani then mahakama ipate room ya kuwanyoosha hao waharifu.
Otherwise the court is functus officio to prosecute