Look out for this new flour coming out. The kind of Stuff that is made to bring out the best from your cooking or baking............
Unga matata sana unakuja
Hongera kwa wote walioshinda kwenye promosheni yetu ya Siku ya Mama’. Tunatumai mna furahia unga wetu. Tunatarajia ubunifu na napishi matamu zaidi kwenye sikuku ya Eid na kuendelea. Kanda Kandika
#kandakandika… https://t.co/olJh54xmQH
Hongera sana kwa picha kumi za mapishi ya akina mama zilizopendwa zaidi .
Tutawasiliana nawe juu ya namna ya kupokea kilo 5 za Camel Flour Unga. Asante sanaaaaa!!!! Congratulations!!!
#mamaakipika#mama#chef… https://t.co/ZdIQZ290jJ
Hongera sana kwa picha kumi za mapishi ya akina mama zilizopendwa zaidi .
Tutawasiliana nawe juu ya namna ya kupokea kilo 5 za Camel Flour Unga. Asante sanaaaaa!!!! https://t.co/3XzlqY5xWw
Mapongezi kwa wamama wote, pia tunatoa shukrani maalum kwa wote waliyotuma picha ya mapishi yao matata. Kupitia kipaji yenu ngano yetu inangaa.
Mmetisha sana wote. Mwendelea kifuatilia ukurasa yetu, tutatangaza… https://t.co/KALK7t3FMB